Email na number ya simu unayo yaani unahotakiwa ni kuifungua ikigoma click kwenye forgot password then itakupa option ya either kutumia simu uliofungulia au email address, kama ndo zile za kufunguliwa wakati wa kununua simu hapo itakuwa ngumu