wajuzi wa it,browsers zote kwenye laptop yangu yaani mozilla,ie,opera na google chrome hazifungui kabisa websites muhimu kama google.com,youtube, gmail etc lakini inafungua nyingine kama google.co.tz, na nyinginezo tafadhali nijuzeni njia ya ku solve tatizo hilo.natanguliza shukurani zangu