Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,161
- 3,054
Habari waungwana msaada tutani
PC yangu aina ya HP yenye windos 8 inaleta ujumbe huo hapo chini kwenye picha.nmejaribu njia kadhaa nmegonga mwamba,njia nilizojaribu:
1. kubadili hard disk yaani ya kwenye pc hii niliweka kwenye pc nyingine na ile nikaweka kwenye pc yenye tatizo,zote zikafanya kazi fresh bila tatizo. (nilifanya hivyo nilihis labda Hard disc imecorrupt/imekufa maana kabla ilichomoka kidogo kutokana na ubovu wa mfuniko).
2. Nilijaribu kuchange kwenye boot order,nika enable legacy na kusave lakini pia haikufanya kazi.
3. Nikaona bora nipige window 10 maana yenyewe ina 8.1,ilipofika kwenye kuchagua disc nikakuta ni plain na hamna kitu,hivyo zoezi likafeli
4. Nimeweka window 8.1 na kujaribu kuboot kwa ku opti kurepair badala ya kupiga window,lakini pia haijafanya kazi.ujumbe unarud huo huo
Wakuu naombeni msaada tafadhali;