MissM4C JF-Expert Member Aug 31, 2012 1,740 1,005 Jan 22, 2016 #1 Kimara Mwisho, Vyumba viwili kuwe na self contained. Hapo kimara mwisho msaada.
accused JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,496 2,745 Jan 23, 2016 #2 MissM4C said: Kimara Mwisho, Vyumba viwili kuwe na self contained. Hapo kimara mwisho msaada. Click to expand... Ukifika hapo kimara mwisho ulizia nyumba za mzee matungucha au ntafute nkupeleke weekend Hii. Nasikia apartment zake ni nzuri kama zitakua hazijajaa kwasasa. Ukikosa njoo mbezi mwisho nkupangishe kwangu
MissM4C said: Kimara Mwisho, Vyumba viwili kuwe na self contained. Hapo kimara mwisho msaada. Click to expand... Ukifika hapo kimara mwisho ulizia nyumba za mzee matungucha au ntafute nkupeleke weekend Hii. Nasikia apartment zake ni nzuri kama zitakua hazijajaa kwasasa. Ukikosa njoo mbezi mwisho nkupangishe kwangu