Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Wakuu, Nina Galaxy Note 3 ambayo ina matatizo matatu;
UPDATE: Naamini tatizo la "Unknown Baseband" n "No Service" ni la hardware na siyo kwenye software, kwa kuwa inashauriwa kufanya reinstallation ya firmware kunasaidia kusolve hilo tatizo kwa kuwa kwa sasa kuna files za kuflash radio zipo hapo hapo kwenye firmware pia nimepewa file la modem lililofanyiwa extraction kutoka kwenye firmware yako lakini bado haijafanikiwa kukamata mtandao.
- Unknown Baseband Version
- Null IMEI, nimerestore IMEI lakini haikufanikiwa kurejea
- Pia hii simu haikamati mtandao kabisa.