Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
607
1,751
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
 
Back
Top Bottom