Msaada nimfanyie nini mwanamke huyu ili asijihisi vibaya?

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,490
4,134
Habar wakuu,

Ni takriban miez 2 tangu nifahamiane na huyu bi dada, Kuna stori behind iliyofanya tufahamiane nae japo kuielezea hapa nitawachosha wasomaji,

Kwa mwanzoni sikuwa namzingatia maana alikuwa anaweza akasafiri kutoka kwake hadi mitaa ya hom na kuomba tuonane na tukishaonana tunapga stori kisha anaondoka ikawa mazoea ya kufanya hivyo hadi mda mwingine nikawa namuonea huruma why anajitolea kutoka kwake mbali kote kuja mtaani kwangu kunisalimia tu,

So nikawa mda mwingine akija nampa nauli hata buku 5 au 10 ili atumie kama usafiri wa kurud coz kutoka kwake hadi kwangu anapanda magari daladala 2 kwa wenyeji wa Dom ni kutoka Veyula hadi Mnada Mpya.

Tumeenda ikafika mda kaamua kunifungukia kiwa anamielewa since day one naonana nae ila changamoto japo hata kama mimi kwa namna flani ni kitom....bi ila kwa huyu dada sijawah kuwa na feeling nae kabisa, na ni pisi kali kabisa ya kinyaturu ila sjui why huyu dada sina hisia nae, maama kuna watu wakiniona nae wanataman hiyo nafasi ila kwangu nashindwa kujua why sina hisia nae hata tone,

Kuna siku niliforce nikachukua chumba LOUGE ila cha ajabu nipo nae kitandani ila nikijthathimin bado anajaribu romance ila sikuwa na hisia nae kabisa, ikabidi nitumie mbinu ya kumpanga mwana anipgie sim ili niuze kesi kuwa nimepata dharula,

Cha ajabu nilimwacha Louge toka mchana kwa kumwahidi nitarud nikasepa kwa mishe zangu na sikurudi ila alilala peke yake na sim zake nilikuwa sipokei nikiamini pengine akitoka hapo hatanichek tena ila Bado ndio kama niliwasha moto wa kunifuatilia,

Kuna mda na Ignore sim zake ili akate tamaa ila bado nikitokea kumjibu hata sms moja hapo anarud upya usumbufu kama wote.

Nataman nipate Ushauri namna ya kubadilisha pysychology yake ili ahamishe akili yake katika kunitaman kimapenzi a move on ila asiumie wala kujihis vibaya kuwa sina hisia nae, na heshim yangu kwake ibaki palepale,

Au hata nipate ushauri namna naweza kufanya nimle mwanamke ambae sina hisia nae ili aridhike tu maana naona sasa ni kero sasa
 
Me hiyo imenikuta pia mwaka huu;

Kuna binti nasoma nae course moja kwenye moja ya chuo kikubwa hapa nchini

Yule binti akaanza kunizoea ghafla,Mara akaniomba namba yangu,nikampa akaanza kujipendekeza kwangu,nisipoenda chuo ataniuliza maswali sana Ila nikawa namvungia tu………….kiukweli uwa sipendi ku-date na binti nnayesoma nae course moja

Basi siku moja akavuka mipaka,tukitembea ananishika mikono na finally akaanza kunilambisha lips,kuna siku akaforce atoke hostel usiku ajue ghetto kwangu tupige story………..niliishia kugegedua tu Ila nikamwambia tusirudie Tena haya mambo akawa kachukia sana

Sasa bahat mbaya kumbe siku zile alinasa mimba na akaniambia kuwa ni ya kwangu ila ana bwana yake,mtu wa system ndo anamuweka mjini hivyo angependa amuuzie mbuzi kwenye gunia,me nikakubali na nikamwambia asinitafute tena ili nisije muharibia ndoa yake……….Juzi kanitafuta kwa namba mpya🤣🤣🤣

Wanawake ukiwapenda watakuumiza ila usipowapenda watakupenda wao……….Don’t be a nice guy ever👊🏿
 
Ukiona hivyo ujue maombi ya mke wako yanafanya Kazi, wewe ni mume wa MTU,jiweke mbali na huyo dada,maana imeandikwa"afanyae uzizi na mwanamke Hana akili kabisa"
 
Ukiona hivyo ujue maombi ya mke wako yanafanya Kazi, wewe ni mume wa MTU,jiweke mbali na huyo dada,maana imeandikwa"afanyae uzizi na mwanamke Hana akili kabisa"
 
Una tatizo braza sio bure..
Hizi mambo za kutokua na hisia na mtu hadi kutohisi chochote mkiwa kunako kwa mara ya kwanza nazisikiaga kwa ke tu.

Hii yako kwamba mmeingia mpaka rooma uliyolipia bado hukufanya majmbozi.

Soln hapo mkatie mawasilino kama huwezi kua nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…