Msaada: Nimetekwa China

Joseph Mahoo

Member
Nov 28, 2018
13
14
Habari ndugu zangu.

Ni muda muafaka sasa kwangu mimi kuongea na ulimwengu upate kusikia maovu yote nilifofanyiwa na majasusi wa serikali ya CCM.

Ndugu zangu nilipomaliza form six mwaka 2015 maisha yangu hayakua mazuri sana kwani matokeo hayakua mazuri lakini nilikua na imani nimefaulu mtihani wangu wa form six.

Kwa neema za MUNGU point zilitosha kuingia chuo na ndipo nilipopangiwa Ruaha Catholic University kwa course ya computer science.

Hapo RUCU ndipo visa na mikasa vilianza! Nilianza chuo October 2015 ulipoingia mwaka 2016 ndipo mateso yalipoanza sasa. Tukio kubwa nalolikumbuka ni kutengwa kijamii hali iliyonifanya nishindwe kushirikiana vizuri na wanafunzi wenzangu kwani nilikua peke yangu. Visa vingi sana vilitokea, vitimbi viliendelea hali iliyonishinda kusoma pale na hatimaye niliacha chuo mwezi wa tatu mwaka 2017 na kuhama chuo mwezi wa nane japo halikua jambo dogo kwani nilihama kwa nguvu nyingi sana.

Ugumu ulitokea kwenye kupata barua ya kudhibitisha kwamba mimi ni mwanafunzi wa RUCU. Vuta nikuvute ilipamba moto na hatimaye nilipata. Baada ya kupata barua nilikuja Dar TCU kuomba uhamisho ambao chenga zilikua nyingi sana na hatimaye niliacha nikarudi Iringa. Wahusika walifuatilia wao kwa wao na hatimaye nikahamia University of Iringa.

University of Iringa nilipokelewa vizuri sana na kwa kweli nili enjoy for the first day of the process. Mambo yalikuja kuwa mabovu sana nlipoanza rasmi masomo kwa hiyo kimsingi sikufanya kitu cha maana kwani mambo yalizidi kuwa mabaya kuzidi hata yale ya RUCU na hapo nilihudhuria mara moja tuu nikaacha chuo kabisa. Sikuona kama nimefanya kitu kwani mikasa ilizidi since the first day niikaona upuuzi ngoja niachane na chuo.

Nilikaa nyumbani Iringa kuanzia mwezi wa tatu mwaka 2017 hadi wa tisa kisha nikaripoti University of Iringa mwezi wa kumi na moja then baada ya kuaha chuo niliendelea kukaa Iringa hadi mwezi wanne mwaka 2018, Jamani naposema kukaa Iringa haimanishi nilikua nikiishi salama bali vita na adhabu nyingi zilikua zikifanyika kwa namna mbalimbali soo ni kama nilikua kifungo cha nje. Kuanzia mwaka 2018 nilianza shughuli za kutafuta passport Dar kwaajili ya kusoma nje ya nchi yani China. Vuta nikuvute iliendelea huko Dar na mipango ilitimia kigumu na ndipo nikaondoka Dar mwezi wa sita!

Niliondoka na watanzania wawili… ambao tuliripoti chuo kimoja na ninaishi nao chumba kimoja. Hawa ndugu hawakua wema kwani ni majasusi wa CCM waliotumwa kunishughulikia ipasavyo... Sababu hasa ya kuja kusoma china ni kwa sababu hali kuwa mbaya zaidi kwa hiyo solution ilikua kusoma nje ya nchi. Wakati naondoka niliambiwa hakuna mtu atakae nisumbua tena kwani ni ngumu kufanya huo ushenzi kwa nchi ya watu. Kumbe walinidanganya na mimi nikaja china nikiwa na amani kabisa kuwa mambo yamekwisha kumbe nimeruka mkojo na kukanyaga mavi!

Hawa pepo wa CCM walikua wameshapanga yao kwahiyo kilichobakia ni kuniadhibu! Adhabu na mateso mengi nimepitia ni nyingi sana kwa hiyo siwezi kuziweka hapa. Usiombe uteswe nchi za watu ndugu ni disaster… bora nchini kwako utajua pakukimbilia.

Nakumbuka mwanzoni Mwenyezi-Mungu alinionya nisishiriki siasa na kweli niliisikia sauti ya MUNGU na siku kaidi tena kama ilivyokua huko nyuma kwa hiyo nilikua tayari ninafunzo la kukaidi sauti ya MUNGU kwani huko mwanzo yaliwahi kunikuta majanga makubwa sana.

Mwezi wa kumi na moja mwaka 2018 nikamuuliza MUNGU kwanini hawa shetani wananifatilia hivi? Kwanini aliniambia nikijiunga na siasa nitakufa? Basi Mwenyezi-Mungu akaniambia mashetani wa CCM walitaka kuchukua nyota yangu! Kwa wasiofahamu nyota niwaambie tuu nyota huonyesha destiny ya mtu! Huonyesha maisha yake na talanta alizopewa na Mwenyezi-Mungu hapa duniani…. Kwa wataalamu wa nyota wananielewa vizuri na ninashauri wengine wasome zaidi masuala ya nyota kwani wengi wameibiwa nyota zao na kuwa matahira, maskini, mafukara, watu wasioeleweka, watu wasioacha senti nyumbani na hata kuuawa kabisa!

Tukisoma injili ya Mathayo Yesu alivyozaliwa tunaona wale wataalamu wa nyota kutoka mataifa mbalimbali walivyoifatilia nyota ya Yesu baada ya kujua kazaliwa. Hili somo la nyota nirefu sana nawashauri msome Mathayo 2:1-18 ili mpate kujifunza. Jamani nyota hubeba maisha ya mtu! Naombeni muwe makini sana na hili jambo. Wachawi huwezi kujua destiny ya mtu kwa kutizama nyota yake…

Maandiko yanasema adui mkubwa wa mtu ni mtu wake wa karibu… adui wangu mkubwa ni mama and the Co. Yeye ndie chanzo cha yote haya nap engine aliniuza kwa sababu najua walishanipangia siku nyingi sana. Kuanzia mwaka 2016 maelewano yamekua mabovu sana kati yangu nay eye.. mateso yote nilikua napitai RUCU yeye ndie aliekua main player. Ni dhahiri alikua keshapanga yake… inauma sana ila MUNGU ni mwema siku zote kwa sisi tunaemwabudu. Hii dunia tunaishi maisha ya kinafiki sana laiti watu wangeujua ukweli basi wasingeishi kimazoea… MUNGU kaniepusha na vifo maa nyingi sana.

Moja wapo ya tukio la ajabu kati ya mengi ninayoyakumbuka ni hawa majasusi wa CCM kunilazimisha kuwa freemason! Hapa ndipo nilipojiuliza kwanini nimkane MUNGU wangu nimuabudu shetani? Kwanini wanilazimishe kuwa muabudu shetani? Kumbe walitaka iwe hivyo ili waiteke nyota yangu na ndipo lile onyo la MUNGUlikatimia kwamba nikifanya siasa basi nitakufa! Ilikua ni kifo cha namna hiyo… Ukimkana MUNGU wako basi inakua rahisi kwa shetani kukumaliza… uwepo wa MUNGU ni kinga tosha kwa hiyo waovu hawawezi kuchukua nyota yako. Nawashauri sana watu waokoke wamtafute MUNGU wa kweli sio shetani. Shetani ni muuaji, mlaghai na muongo…

Chuo nilicholetwa ni Henan university of urban construction kipo jimbo la Henan, China. Huku nilishindwa hata kwenda darasani kwa sababu vita ni kubwa, vita ya mwili na isiyoonekana(Kichawi) kwa hiyo nimekaa tuu nikiomba kudra za Mwenyezi-Mungu nitoke mikonini mwa shetani.

Hapa nimezungukwa kila pembe kama ngome yani hakuna kinachoingia wala kinachotoka… Nipo kifungoni nikiteswa emotionally na namna nyingine. Yote haya ni sababu ya majasusi wa serikali ya CCM! Sina la kufanya… sina siri mipango yangu yote imevurugika kwani shetani kanizunguka kila kona. Nipo naked… naposema sina siri ni kwamba hawa shetani wa Lumumba watu wao hawa wanajua kila nachowaza na kufikiri kwa kutumia shetani wao huyo anaeitwa pepo la utambuzi au kwa kiingereza “Intuition devil” yani hili pepo linawaambia kilichopo moyoni mwangu na hapa ndipo napoadhibiwa zaidi kwani wanajua ninachopanga kufanya na wao wanapiga hapo hapo kwa hiyo nimechoka naombeni mnisaidie watu wema.

Ninaomba kuanzia hapa kwenda kila kona ya ulimwengu sauti yangu isikike nipate msaada… Hii ndio CCM ndugu zangu… naomba United nations, Amnesty International, Humanitarians groups na organization zinazoshughulika na masuala ya kibinadamu zinisaidie. Siwezi kusafiri wala kutoka everywhere nipo surrounded by devil.

Nipo threated my life, nilishaponea huku kwa kunyweshwa sumu sasa ndugu nitawezaje kusema na nyanyua mguu hapa? Nitaweza kwa hali hii? Kumbuka sina rafiki wala ndugu wakunisaidia ni mimi peke yangu... natamani sana kuwa na rafiki ila watammaliza hawa devil as I said sina siri hivyo naogopa kuwa close sana na mtu yeyote so I’m staying alone. Nambeni mnisaidie walimwengu sina jinsi, I want to get out of this hell.

Maisha yangu yamezungukwa nimebanwa kila kona kwa hiyo siwezi kufanya kitu na na hapa ndipo huyu shetani wa lumumba anakazia ili nimpigie magoti kwa kuwa anajua sitachomoka… mtu ukishamteka hawezi kufanya tena kitu na ndicho kinachoendelea sasa. Ni mwendo wa torture mpaka nilegee niwapigie magoti and this is what they dream of.

Nimefanyiwa mambo mengi sana maovu siwezi kuyaweka hapa ni mazito mno… Namshukuru MUNGU mpaka sasa nina pumzi, ni kwa wingi wa rehema zake ninapumua hadi sasa. Kinachoendelea sana ni propaganda kwamba nina plan gani next sasa baada ya shetani kuniteka. Nambiwa hela za nauli ya kurudi bongo ninazo? transfer fee? Wengi wasema 4000USD, wengine 5000 to 6000USD kwenda kwenye chuo kinachofundisha kiingereza tuu.

Niliambiwa na agent wa university abroad kuwa tutafundishwa kwa kiingereza maskini wa MUNGU kumbe ni uongo mtupu huku ni ful kichina so napaswa kuhama chuo… Generally sina plan hapa nimefika mwisho naomba msaada kwa ulimwengu uniokoe.

Naomba nisaidiwe nitoke huku kifungoni kwa shetani, I want to go somewhere beautiful to live happy life (Columbia or Great Britain). Naomba nisaidiwe ili nimalize masomo yangu ya degree… Kwa umri nilio nao ni mkubwa sana sio wa kuomba tena pesa. Ni muda wa kutafuta wa kuishi nae “mke” na kutengeneza familia.

Thanks you.

NB: This is my real life sio fiction kwa wanaonifahamu shuleni, vyuoni, mitaani na hapa mitandaoni wanaelewa haya. Nimekuja na jina langu halisi kuongea na ulimwengu... please please.

Updates
Nilimjibu membe mmoja nikaona niweke hapa kwa sababu wengi wanataka info zaidi.
Ndugu yangu mimi mtu wa upinzani sasa hao watu wa CCM wakishakusoma na kuona huna time nao wanakuwekea vikwazo kwa namna mbalimbali kama ilivyonitokea pale RUCU na University of Iringa.
Lengo la hayo mateso ni kukulainisha ili uwe upande wao au kwa kifupi uwapende. Haina tofauti sana na wale watuhumiwa wanaopewa mateso makali ili waseme kitu fulani kama wapo suspected... Hicho ndicho nilichofanyiwa na ninachoelea kufanyiwa.

Mimi nikuambie tuu mkuu ni CHADEMA, mimi napenda mabadiliko, mimi ni mwanamapinduzi wenyewe wajua hili ndio maana waliniingilia kwa gia ya mateso.
Lengo la kunitenga ni ili nifadhaike au niteseka moyoni halafu niwapigie magoti... ukisikia vikwazo ndio hivyo sasa yani unabwanwa hadi unashinwa la kufanya mwishowe unakubali tuu kwa sababu huna namna.
Ndio ni wanausamala wa serikali(CCM) nilikuja kugundua mwezi wa nne mwaka 2017 ila kimsingi ishu imeanza muda tuu kwa kifupi nilishapangiwa hii kitu.
So mambo hayaanzi from nowhere bali yalisha pangwa muda... ndivyo wanavyofanya.

Sina hela kwa sababu sina kibarua mkuu na sidhani kama wataruhusu hili... hata nikipata kibarua mahali sitakifanya kwani watatia figisu zao.
Nimeshaacha vyuo viwili sasa hichi cha tatu nishakiacha tatizo sina pakwenda kwa sababu nipo kifungoni japo ni cha nje ila kimsingi nimetekwa halafu niko nchi ya watu kwa hiyo sina pakwenda... sina pesa pia naogopa kusafiri kwa sababu watanimalia... hilo sidhani kama wataruhusu.
Naomba nisaidiwe kibinadamu kwa sababu naishi kama mfungwa... i need to get out of this prison... yanayofanyika huku ni makubwa sana.

Kwa mfano hata hapa utawaona wanavyokuja negatively kunikaisha tamaa eti nilichoandika hakieleweki though najua sijui kupangilia matukio vizuri ila
hapa mwenye nia njema ataelewa kitu... haters watakanusha na kutoa kejeli.

Mkuu mpaka hapo nadhani utapata uhalisia zaidi.
 
Kumekucha
IMG_20181125_062524.jpeg
 
Habari ndugu zangu.

Ni muda muafaka sasa kwangu mimi kuongea na ulimwengu upate kusikia maovu yote nilifofanyiwa na majasusi wa serikali ya CCM.

Ndugu zangu nilipomaliza form six mwaka 2015 maisha yangu hayakua mazuri sana kwani matokeo hayakua mazuri lakini nilikua na imani nimefaulu mtihani wangu wa form six.

Kwa neema za MUNGU point zilitosha kuingia chuo na ndipo nilipopangiwa Ruaha Catholic University kwa course ya computer science.

Hapo RUCU ndipo visa na mikasa vilianza! Nilianza chuo October 2015 ulipoingia mwaka 2016 ndipo mateso yalipoanza sasa. Tukio kubwa nalolikumbuka ni kutengwa kijamii hali iliyonifanya nishindwe kushirikiana vizuri na wanafunzi wenzangu kwani nilikua peke yangu. Visa vingi sana vilitokea, vitimbi viliendelea hali iliyonishinda kusoma pale na hatimaye niliacha chuo mwezi wa tatu mwaka 2017 na kuhama chuo mwezi wa nane japo halikua jambo dogo kwani nilihama kwa nguvu nyingi sana.

Ugumu ulitokea kwenye kupata barua ya kudhibitisha kwamba mimi ni mwanafunzi wa RUCU. Vuta nikuvute ilipamba moto na hatimaye nilipata. Baada ya kupata barua nilikuja Dar TCU kuomba uhamisho ambao chenga zilikua nyingi sana na hatimaye niliacha nikarudi Iringa. Wahusika walifuatilia wao kwa wao na hatimaye nikahamia University of Iringa.

University of Iringa nilipokelewa vizuri sana na kwa kweli nili enjoy for the first day of the process. Mambo yalikuja kuwa mabovu sana nlipoanza rasmi masomo kwa hiyo kimsingi sikufanya kitu cha maana kwani mambo yalizidi kuwa mabaya kuzidi hata yale ya RUCU na hapo nilihudhuria mara moja tuu nikaacha chuo kabisa. Sikuona kama nimefanya kitu kwani mikasa ilizidi since the first day niikaona upuuzi ngoja niachane na chuo.

Nilikaa nyumbani Iringa kuanzia mwezi wa tatu mwaka 2017 hadi wa tisa kisha nikaripoti University of Iringa mwezi wa kumi na moja then baada ya kuaha chuo niliendelea kukaa Iringa hadi mwezi wanne mwaka 2018, Jamani naposema kukaa Iringa haimanishi nilikua nikiishi salama bali vita na adhabu nyingi zilikua zikifanyika kwa namna mbalimbali soo ni kama nilikua kifungo cha nje. Kuanzia mwaka 2018 nilianza shughuli za kutafuta passport Dar kwaajili ya kusoma nje ya nchi yani China. Vuta nikuvute iliendelea huko Dar na mipango ilitimia kigumu na ndipo nikaondoka Dar mwezi wa sita!

Niliondoka na watanzania wawili… ambao tuliripoti chuo kimoja na ninaishi nao chumba kimoja. Hawa ndugu hawakua wema kwani ni majasusi wa CCM waliotumwa kunishughulikia ipasavyo... Sababu hasa ya kuja kusoma china ni kwa sababu hali kuwa mbaya zaidi kwa hiyo solution ilikua kusoma nje ya nchi. Wakati naondoka niliambiwa hakuna mtu atakae nisumbua tena kwani ni ngumu kufanya huo ushenzi kwa nchi ya watu. Kumbe walinidanganya na mimi nikaja china nikiwa na amani kabisa kuwa mambo yamekwisha kumbe nimeruka mkojo na kukanyaga mavi!

Hawa pepo wa CCM walikua wameshapanga yao kwahiyo kilichobakia ni kuniadhibu! Adhabu na mateso mengi nimepitia ni nyingi sana kwa hiyo siwezi kuziweka hapa. Usiombe uteswe nchi za watu ndugu ni disaster… bora nchini kwako utajua pakukimbilia.

Nakumbuka mwanzoni Mwenyezi-Mungu alinionya nisishiriki siasa na kweli niliisikia sauti ya MUNGU na siku kaidi tena kama ilivyokua huko nyuma kwa hiyo nilikua tayari ninafunzo la kukaidi sauti ya MUNGU kwani huko mwanzo yaliwahi kunikuta majanga makubwa sana.

Mwezi wa kumi na moja mwaka 2018 nikamuuliza MUNGU kwanini hawa shetani wananifatilia hivi? Kwanini aliniambia nikijiunga na siasa nitakufa? Basi Mwenyezi-Mungu akaniambia mashetani wa CCM walitaka kuchukua nyota yangu! Kwa wasiofahamu nyota niwaambie tuu nyota huonyesha destiny ya mtu! Huonyesha maisha yake na talanta alizopewa na Mwenyezi-Mungu hapa duniani…. Kwa wataalamu wa nyota wananielewa vizuri na ninashauri wengine wasome zaidi masuala ya nyota kwani wengi wameibiwa nyota zao na kuwa matahira, maskini, mafukara, watu wasioeleweka, watu wasioacha senti nyumbani na hata kuuawa kabisa!

Tukisoma injili ya Mathayo Yesu alivyozaliwa tunaona wale wataalamu wa nyota kutoka mataifa mbalimbali walivyoifatilia nyota ya Yesu baada ya kujua kazaliwa. Hili somo la nyota nirefu sana nawashauri msome Mathayo 2:1-18 ili mpate kujifunza. Jamani nyota hubeba maisha ya mtu! Naombeni muwe makini sana na hili jambo. Wachawi huwezi kujua destiny ya mtu kwa kutizama nyota yake…

Maandiko yanasema adui mkubwa wa mtu ni mtu wake wa karibu… adui wangu mkubwa ni mama and the Co. Yeye ndie chanzo cha yote haya nap engine aliniuza kwa sababu najua walishanipangia siku nyingi sana. Kuanzia mwaka 2016 maelewano yamekua mabovu sana kati yangu nay eye.. mateso yote nilikua napitai RUCU yeye ndie aliekua main player. Ni dhahiri alikua keshapanga yake… inauma sana ila MUNGU ni mwema siku zote kwa sisi tunaemwabudu. Hii dunia tunaishi maisha ya kinafiki sana laiti watu wangeujua ukweli basi wasingeishi kimazoea… MUNGU kaniepusha na vifo maa nyingi sana.

Moja wapo ya tukio la ajabu kati ya mengi ninayoyakumbuka ni hawa majasusi wa CCM kunilazimisha kuwa freemason! Hapa ndipo nilipojiuliza kwanini nimkane MUNGU wangu nimuabudu shetani? Kwanini wanilazimishe kuwa muabudu shetani? Kumbe walitaka iwe hivyo ili waiteke nyota yangu na ndipo lile onyo la MUNGUlikatimia kwamba nikifanya siasa basi nitakufa! Ilikua ni kifo cha namna hiyo… Ukimkana MUNGU wako basi inakua rahisi kwa shetani kukumaliza… uwepo wa MUNGU ni kinga tosha kwa hiyo waovu hawawezi kuchukua nyota yako. Nawashauri sana watu waokoke wamtafute MUNGU wa kweli sio shetani. Shetani ni muuaji, mlaghai na muongo…

Chuo nilicholetwa ni Henan university of urban construction kipo jimbo la Henan, China. Huku nilishindwa hata kwenda darasani kwa sababu vita ni kubwa, vita ya mwili na isiyoonekana(Kichawi) kwa hiyo nimekaa tuu nikiomba kudra za Mwenyezi-Mungu nitoke mikonini mwa shetani.

Hapa nimezungukwa kila pembe kama ngome yani hakuna kinachoingia wala kinachotoka… Nipo kifungoni nikiteswa emotionally na namna nyingine. Yote haya ni sababu ya majasusi wa serikali ya CCM! Sina la kufanya… sina siri mipango yangu yote imevurugika kwani shetani kanizunguka kila kona. Nipo naked… naposema sina siri ni kwamba hawa shetani wa Lumumba watu wao hawa wanajua kila nachowaza na kufikiri kwa kutumia shetani wao huyo anaeitwa pepo la utambuzi au kwa kiingereza “Intuition devil” yani hili pepo linawaambia kilichopo moyoni mwangu na hapa ndipo napoadhibiwa zaidi kwani wanajua ninachopanga kufanya na wao wanapiga hapo hapo kwa hiyo nimechoka naombeni mnisaidie watu wema.

Ninaomba kuanzia hapa kwenda kila kona ya ulimwengu sauti yangu isikike nipate msaada… Hii ndio CCM ndugu zangu… naomba United nations, Amnesty International, Humanitarians groups na organization zinazoshughulika na masuala ya kibinadamu zinisaidie. Siwezi kusafiri wala kutoka everywhere nipo surrounded by devil.

Nipo threated my life, nilishaponea huku kwa kunyweshwa sumu sasa ndugu nitawezaje kusema na nyanyua mguu hapa? Nitaweza kwa hali hii? Kumbuka sina rafiki wala ndugu wakunisaidia ni mimi peke yangu... natamani sana kuwa na rafiki ila watammaliza hawa devil as I said sina siri hivyo naogopa kuwa close sana na mtu yeyote so I’m stay alone. Nambeni mnisaidie walimwengu sina jinsi, I want to get out of this hell.

Maisha yangu yamezungukwa nimebanwa kila kona kwa hiyo siwezi kufanya kitu na na hapa ndipo huyu shetani wa lumumba anakazia ili nimpigie magoti kwa sitoki… mtu ukishamteka hawezi kufanya tena kitu na ndicho kinachoendelea sasa. Ni mwendo wa torture mpaka nilegee niwapigie magoti and this is what they dream of.

Nimefanyiwa mambo mengi sana maovu siwezi kuyaweka hapa ni mazito mno… Namshukuru MUNGU mpaka sasa nina pumzi, ni kwa wingi wa rehema zake ninapumua hadi sasa. Kinachoendelea sana ni propaganda kwamba nina plan gani next sasa baada ya shetani kuniteka. Nambiwa hela za nauli ya kurudi bongo ninazo? transfer fee? Wengi wasema 4000USD, wengine 5000 to 6000USD kwenda kwenye chuo kinachofundisha kiingereza tuu.

Niliambiwa na agent wa university abroad kuwa tutafundishwa kwa kiingereza maskini wa MUNGU kumbe ni uongo mtupu huku ni ful kichina so napaswa kuhama chuo… Generally sina plan hapa nimefika mwisho naomba msaada kwa ulimwengu uniokoe.

Naomba nisaidiwe nitoke huku kifungoni kwa shetani, I want to go somewhere beautiful to live happy life (Columbia or Great Britain). Naomba nisaidiwe ili nimalize masomo yangu ya degree… Kwa umri nilio nao ni mkubwa sana sio wa kuomba tena pesa. Ni muda wa kutafuta wa kuishi nae “mke” na kutengeneza familia.

Thanks you.
Yani sijakuelewa kabisa, naona tu neno CCM CCM, ebu futa uandike upya maana upo kulalamika tu nini as if tunakujua tunajua maswahibu yako, siasa ipi ulikuwa unafanya ikiwa hata kuandika mtiririko wa matukio uwezi.
 
Pole sana mkuu!
Japo sijaelewa vizuri ulichoandika maana historia yako hujaiweka vizuri
Tuanzie hapa
*kwanin RUCU walikuwa wqnakutenga?
*unauhusiano gani kisiasa yaan wewe ni kada wa upinzani au
*umejuaje hao ni ccm wanakufatilia?
* vipi tatizo LA kiuchumi unalimudu? Yaani huko China unataka tukusaidie kifedha au kidiplomasia?
 
Sasa si uweke wazi uliwafanyaje hao ccm?,
wanachotaka kwako ni nini?
Kama wamekufuata mpk huko unahisi huko colombia au great britain watashindwa?,
siasa ipi ulijihusisha nayo?
Una nini kikubwa ndugu? hembu tujuze,
weng labda tunaichukia ccm lakn hayakutukuta haya,
Au unawasingizia hawa jamaa kwa mentality kuamin utapata backup kwa sbb watu hawawapend au ndio eti watenda maovu sana? basi tuamin kirahsi?
kama sivyo niwie radhi ila kama ndivyo usitafte sympath ya kufeli kwa kumsingizia usiyempenda.
 
Habari ndugu zangu.

Ni muda muafaka sasa kwangu mimi kuongea na ulimwengu upate kusikia maovu yote nilifofanyiwa na majasusi wa serikali ya CCM.

Ndugu zangu nilipomaliza form six mwaka 2015 maisha yangu hayakua mazuri sana kwani matokeo hayakua mazuri lakini nilikua na imani nimefaulu mtihani wangu wa form six.

Kwa neema za MUNGU point zilitosha kuingia chuo na ndipo nilipopangiwa Ruaha Catholic University kwa course ya computer science.

Hapo RUCU ndipo visa na mikasa vilianza! Nilianza chuo October 2015 ulipoingia mwaka 2016 ndipo mateso yalipoanza sasa. Tukio kubwa nalolikumbuka ni kutengwa kijamii hali iliyonifanya nishindwe kushirikiana vizuri na wanafunzi wenzangu kwani nilikua peke yangu. Visa vingi sana vilitokea, vitimbi viliendelea hali iliyonishinda kusoma pale na hatimaye niliacha chuo mwezi wa tatu mwaka 2017 na kuhama chuo mwezi wa nane japo halikua jambo dogo kwani nilihama kwa nguvu nyingi sana.

Ugumu ulitokea kwenye kupata barua ya kudhibitisha kwamba mimi ni mwanafunzi wa RUCU. Vuta nikuvute ilipamba moto na hatimaye nilipata. Baada ya kupata barua nilikuja Dar TCU kuomba uhamisho ambao chenga zilikua nyingi sana na hatimaye niliacha nikarudi Iringa. Wahusika walifuatilia wao kwa wao na hatimaye nikahamia University of Iringa.

University of Iringa nilipokelewa vizuri sana na kwa kweli nili enjoy for the first day of the process. Mambo yalikuja kuwa mabovu sana nlipoanza rasmi masomo kwa hiyo kimsingi sikufanya kitu cha maana kwani mambo yalizidi kuwa mabaya kuzidi hata yale ya RUCU na hapo nilihudhuria mara moja tuu nikaacha chuo kabisa. Sikuona kama nimefanya kitu kwani mikasa ilizidi since the first day niikaona upuuzi ngoja niachane na chuo.

Nilikaa nyumbani Iringa kuanzia mwezi wa tatu mwaka 2017 hadi wa tisa kisha nikaripoti University of Iringa mwezi wa kumi na moja then baada ya kuaha chuo niliendelea kukaa Iringa hadi mwezi wanne mwaka 2018, Jamani naposema kukaa Iringa haimanishi nilikua nikiishi salama bali vita na adhabu nyingi zilikua zikifanyika kwa namna mbalimbali soo ni kama nilikua kifungo cha nje. Kuanzia mwaka 2018 nilianza shughuli za kutafuta passport Dar kwaajili ya kusoma nje ya nchi yani China. Vuta nikuvute iliendelea huko Dar na mipango ilitimia kigumu na ndipo nikaondoka Dar mwezi wa sita!

Niliondoka na watanzania wawili… ambao tuliripoti chuo kimoja na ninaishi nao chumba kimoja. Hawa ndugu hawakua wema kwani ni majasusi wa CCM waliotumwa kunishughulikia ipasavyo... Sababu hasa ya kuja kusoma china ni kwa sababu hali kuwa mbaya zaidi kwa hiyo solution ilikua kusoma nje ya nchi. Wakati naondoka niliambiwa hakuna mtu atakae nisumbua tena kwani ni ngumu kufanya huo ushenzi kwa nchi ya watu. Kumbe walinidanganya na mimi nikaja china nikiwa na amani kabisa kuwa mambo yamekwisha kumbe nimeruka mkojo na kukanyaga mavi!

Hawa pepo wa CCM walikua wameshapanga yao kwahiyo kilichobakia ni kuniadhibu! Adhabu na mateso mengi nimepitia ni nyingi sana kwa hiyo siwezi kuziweka hapa. Usiombe uteswe nchi za watu ndugu ni disaster… bora nchini kwako utajua pakukimbilia.

Nakumbuka mwanzoni Mwenyezi-Mungu alinionya nisishiriki siasa na kweli niliisikia sauti ya MUNGU na siku kaidi tena kama ilivyokua huko nyuma kwa hiyo nilikua tayari ninafunzo la kukaidi sauti ya MUNGU kwani huko mwanzo yaliwahi kunikuta majanga makubwa sana.

Mwezi wa kumi na moja mwaka 2018 nikamuuliza MUNGU kwanini hawa shetani wananifatilia hivi? Kwanini aliniambia nikijiunga na siasa nitakufa? Basi Mwenyezi-Mungu akaniambia mashetani wa CCM walitaka kuchukua nyota yangu! Kwa wasiofahamu nyota niwaambie tuu nyota huonyesha destiny ya mtu! Huonyesha maisha yake na talanta alizopewa na Mwenyezi-Mungu hapa duniani…. Kwa wataalamu wa nyota wananielewa vizuri na ninashauri wengine wasome zaidi masuala ya nyota kwani wengi wameibiwa nyota zao na kuwa matahira, maskini, mafukara, watu wasioeleweka, watu wasioacha senti nyumbani na hata kuuawa kabisa!

Tukisoma injili ya Mathayo Yesu alivyozaliwa tunaona wale wataalamu wa nyota kutoka mataifa mbalimbali walivyoifatilia nyota ya Yesu baada ya kujua kazaliwa. Hili somo la nyota nirefu sana nawashauri msome Mathayo 2:1-18 ili mpate kujifunza. Jamani nyota hubeba maisha ya mtu! Naombeni muwe makini sana na hili jambo. Wachawi huwezi kujua destiny ya mtu kwa kutizama nyota yake…

Maandiko yanasema adui mkubwa wa mtu ni mtu wake wa karibu… adui wangu mkubwa ni mama and the Co. Yeye ndie chanzo cha yote haya nap engine aliniuza kwa sababu najua walishanipangia siku nyingi sana. Kuanzia mwaka 2016 maelewano yamekua mabovu sana kati yangu nay eye.. mateso yote nilikua napitai RUCU yeye ndie aliekua main player. Ni dhahiri alikua keshapanga yake… inauma sana ila MUNGU ni mwema siku zote kwa sisi tunaemwabudu. Hii dunia tunaishi maisha ya kinafiki sana laiti watu wangeujua ukweli basi wasingeishi kimazoea… MUNGU kaniepusha na vifo maa nyingi sana.

Moja wapo ya tukio la ajabu kati ya mengi ninayoyakumbuka ni hawa majasusi wa CCM kunilazimisha kuwa freemason! Hapa ndipo nilipojiuliza kwanini nimkane MUNGU wangu nimuabudu shetani? Kwanini wanilazimishe kuwa muabudu shetani? Kumbe walitaka iwe hivyo ili waiteke nyota yangu na ndipo lile onyo la MUNGUlikatimia kwamba nikifanya siasa basi nitakufa! Ilikua ni kifo cha namna hiyo… Ukimkana MUNGU wako basi inakua rahisi kwa shetani kukumaliza… uwepo wa MUNGU ni kinga tosha kwa hiyo waovu hawawezi kuchukua nyota yako. Nawashauri sana watu waokoke wamtafute MUNGU wa kweli sio shetani. Shetani ni muuaji, mlaghai na muongo…

Chuo nilicholetwa ni Henan university of urban construction kipo jimbo la Henan, China. Huku nilishindwa hata kwenda darasani kwa sababu vita ni kubwa, vita ya mwili na isiyoonekana(Kichawi) kwa hiyo nimekaa tuu nikiomba kudra za Mwenyezi-Mungu nitoke mikonini mwa shetani.

Hapa nimezungukwa kila pembe kama ngome yani hakuna kinachoingia wala kinachotoka… Nipo kifungoni nikiteswa emotionally na namna nyingine. Yote haya ni sababu ya majasusi wa serikali ya CCM! Sina la kufanya… sina siri mipango yangu yote imevurugika kwani shetani kanizunguka kila kona. Nipo naked… naposema sina siri ni kwamba hawa shetani wa Lumumba watu wao hawa wanajua kila nachowaza na kufikiri kwa kutumia shetani wao huyo anaeitwa pepo la utambuzi au kwa kiingereza “Intuition devil” yani hili pepo linawaambia kilichopo moyoni mwangu na hapa ndipo napoadhibiwa zaidi kwani wanajua ninachopanga kufanya na wao wanapiga hapo hapo kwa hiyo nimechoka naombeni mnisaidie watu wema.

Ninaomba kuanzia hapa kwenda kila kona ya ulimwengu sauti yangu isikike nipate msaada… Hii ndio CCM ndugu zangu… naomba United nations, Amnesty International, Humanitarians groups na organization zinazoshughulika na masuala ya kibinadamu zinisaidie. Siwezi kusafiri wala kutoka everywhere nipo surrounded by devil.

Nipo threated my life, nilishaponea huku kwa kunyweshwa sumu sasa ndugu nitawezaje kusema na nyanyua mguu hapa? Nitaweza kwa hali hii? Kumbuka sina rafiki wala ndugu wakunisaidia ni mimi peke yangu... natamani sana kuwa na rafiki ila watammaliza hawa devil as I said sina siri hivyo naogopa kuwa close sana na mtu yeyote so I’m stay alone. Nambeni mnisaidie walimwengu sina jinsi, I want to get out of this hell.

Maisha yangu yamezungukwa nimebanwa kila kona kwa hiyo siwezi kufanya kitu na na hapa ndipo huyu shetani wa lumumba anakazia ili nimpigie magoti kwa kuwa anajua sitachomoka… mtu ukishamteka hawezi kufanya tena kitu na ndicho kinachoendelea sasa. Ni mwendo wa torture mpaka nilegee niwapigie magoti and this is what they dream of.

Nimefanyiwa mambo mengi sana maovu siwezi kuyaweka hapa ni mazito mno… Namshukuru MUNGU mpaka sasa nina pumzi, ni kwa wingi wa rehema zake ninapumua hadi sasa. Kinachoendelea sana ni propaganda kwamba nina plan gani next sasa baada ya shetani kuniteka. Nambiwa hela za nauli ya kurudi bongo ninazo? transfer fee? Wengi wasema 4000USD, wengine 5000 to 6000USD kwenda kwenye chuo kinachofundisha kiingereza tuu.

Niliambiwa na agent wa university abroad kuwa tutafundishwa kwa kiingereza maskini wa MUNGU kumbe ni uongo mtupu huku ni ful kichina so napaswa kuhama chuo… Generally sina plan hapa nimefika mwisho naomba msaada kwa ulimwengu uniokoe.

Naomba nisaidiwe nitoke huku kifungoni kwa shetani, I want to go somewhere beautiful to live happy life (Columbia or Great Britain). Naomba nisaidiwe ili nimalize masomo yangu ya degree… Kwa umri nilio nao ni mkubwa sana sio wa kuomba tena pesa. Ni muda wa kutafuta wa kuishi nae “mke” na kutengeneza familia.

Thanks you.
@joseph mahoo pole sana naona hii ndio post yako ya kwanza baada ya kuidhinishwa kuwa mwanachama wa JF
Joseph pamoja na hayo yote lakini una tatizo kubwa la kisaikolojia.. HOFU ya kufuatiliwa na watu wasiojulikana na ya kwamba madhila yako yote yanasababishwa na wao

FEAR OF THE UNKNOWN!
Una hofu na visivyojulikana na akili yako inajikuta inavitafsiri kinyume na uhalisia wake na kukujengea mazingira ya
. kuchukiwa
. kuonewa
. kufuatiliwa
. kuuwawa
. kuteswa
. kufelishwa
. kutekwa nknk
Unahitajika kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili anaweza kukusaidia sana ukarudi normal... Usipopata tiba mapema utaishia kuwehuka kabisa ama kujiua
Wale wendawazimu wanaopayuka na kukimbiakimbia ama kujifichaficha huku wakisema... Hao! Hao! wanakuja! wanakuja... Wametumwa wametumwa....! Walianza kama wewe... Weka mawasiliano yako hapa utasaidika
 
Back
Top Bottom