Msaada: Nimesahau nywila ya Kompyuta, nifanyeje?

happyrozo

Member
Oct 17, 2017
53
27
sijasahau password kwenye pc yangu aina ya toshiba inayotumia window 10 lakini imenigomea,na passwerd ilikua ya local accont,naombeni msaada wenu wanaforum
 
kuna ka process kidogo cha kufanya hiyo kitu, Kama bado hujafanikiwa tukupe maelekezo.
 
Back
Top Bottom