financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,837
- 42,558
Habari wakuu, nilikua nakunywa maji nikiwa na kipisi cha toothpick mdomoni, sasa nimekimeza na nahisi kimekwama kooni, nikitaka kunywa maji panakwaruza kuelekea kifuani, inaniogopesha nifanyaje? Kama kuna msaada wowote.