Msaada nimekuwa msahaulifu sana

vantz

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
1,107
570
Naombeni ushauri au hata dawa kama zipo nimekuwa MSAHAULIFU sana naweza kusoma jambo mfano Kuwe na jina la mtu au kitu baada ya muda nasahau lile jina ila stori naikumbuka
 
Tumia mafuta ya samaki aina ya Salmon pamoja na mmea wa ginko biloba. Ukihitahi nitafute Pm.
 
Naombeni ushauri au hata dawa kama zipo nimekuwa MSAHAULIFU sana naweza kusoma jambo mfano Kuwe na jina la mtu au kitu baada ya muda nasahau lile jina ila stori naikumbuka
tafuta mmea uitwao ROSEMERRY au MAFUTA ROSE MERRY ukipata mafuta pakaa maeneo ya pembeni mwa.uso kabla ya nywele
na ukipata mmea tumia.majani yake pikia chai au mboga nk
 
Asanteni sana mkuu
 
1.Kula tundizi sukari tule tudogo not in excess but always for potassium minerals...
2. Have a fish once per week
3.exercises
4. Periodic Rest time
5. Have control of ur stress
 
Kumbe hizo Ndizi ni kweli? Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…