Msaada: Nimefungiwa account yangu ya X(zamani twitter)

Geok

Senior Member
Sep 24, 2021
125
318
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau.
Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua procedure yoyote namna ya kuirudisha account naomba anisaidie. Maana ilikuwa ni account ya biashara pia.
 
Back
Top Bottom