ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
Mnamo siku ya ijumaa tar 7/9/2018 nilibet kwa premier bet online nikaweka dau la 3000/= kesho yake nikakuta nimeshinda 20,640/= nikawajulisha hawajanijibu mpaka leo na pesa hawajanitumia. Taratibu na kanuni za hawa watu zikoje? Maana hapa hata kodi ya serikali wameiba