mkurya wa rebu
Member
- Aug 24, 2015
- 52
- 36
Habarini wanajamvi,
Polen na majukumu pia, nimekuja kwenu nikihitaji msaada wa kisheria nikiamini humuvjamii forum nisehemu ambayo kuna watu ni wajuzi na wenye expirience mbalimbali ktk upande mzma wa sheria.
Mimi ni kijana ninae fanikisha kula yangu kutokana na vishuguli vidogo vidogo ninavyojishugulisha navyo miongoni mwake ni pooltable mbili zilizopo sehemu moja nmemkabidhi kijana anapata nami pia napata hesabu yangu kwa siku.
Sasa mwenyekiti alimzuia huyo kijana kufungua siku 4 zilizopita baada ya kupata taarifa kwa sababu mimi nipo mbali nilimpigia simu akanambia kamzuia kwa sababu anafunga saa5 wakati mwisho tulopangiana ni saa4 japo kibali changu mimi kinaonesha mwisho ni saa5.
Baada ya malalamiko ya Mwenyekiti kwasababu sio mara ya kwanza nkajua anahtaj ulaji sab ni siku nyingi sijamkumbuka na nimtu ambae kidogo tunashibana hta nikitembelea maeneo yale namtafuta tunagonga cheers kidogo maisha yanasonga nikamtuma balozi wake nikampa elf 20 ampelekee ile pesa akaikataa akidai ni ndogo ikabidi nmtafute kwenye simu mwenyew akadai pesa ni ndogo japo hakunambia anahitaji kiasi gani.
Nikamuongeza yule balozi elf 10 iwe 30 ile pesa hakuichukua ila akamwambia baloz akae nayo na amenipa adhabu kama fundisho mpaka siku atakayo amua yeye mwenyew kuniruhusu sababu mwanzo alikomaa sana niziondoe pale sasa basi ndio tumekosea lakini jaman kwa hali ya sasa kama mnavojua ni ngumu sana mtu kukufungia biashara yako inayokufanya hata familia isavive ni changamoto kubwa sana.
Nikashikwa na hasira sana nkataka ni deal nae tu kitfotat sababu kuna watu nafahamiana nao tupo karibu wa juu yake japo ckutaka kufanya hivi mwanzo sasa nahitaji nipate muongozo kidogo kabla cjafanya hivo je mwenyekiti wa mtaa ana hayo mamlaka ya kufunga biashara ya mkazi wake pamoja na kumuondoa kama yy alivodai mwanzo?