Wadau mi sio mtaalamu sana wa Teknolojia hii.Kuna system ya NHIF naitumia kuingiza information za fomu online.
Tatizo leo asubuhi wakati nawasha kompyuta ikatoa ujumbe kuwa window inaji-upgrade(kama sijakosea "ku-update").
Ilipomaliza ikaja window 10,sasa tatizo linatokea kwenye ku-conect internet inakataa,nashindwa hata ku-browse.
Natumia moderm,nikichomeka inasoma "connect"Niki-connect inakubali lkn pale chini upande wa kulia karibu na saa ukiweka cursor inasoma no internet access.Nashindwa kuelewa nifanyeje wadau.
Samahani kwa maelezo marefu!