Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,844
- 4,769
Naomba kujibiwa maana website ya Sumatra imeshindwa kunijibu viwango vilivyopo ni vya 2013 sijui afisa habari wao anakazi gani.
Niko mbali mkuunendo ubungo upate na karaha ya wapiga debe kidogo
Naimani na JfWapigie simu uwaulize
Haya ngoja jf ajeNaimani na Jf
Sitongozwi, nini tatizo?Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
ShukraniDar-Musoma kuna Osaka,princess muro na Jm bus ila kati ya hizo ni heri upande JM japo si luxury ni semi-luxury na nauli yake haifiki elfu60
Shukrani mkuuIna tsh 55000. mpaka mwanza ni tsh 45000. mwanza to musoma ni tsh 15000. Ukiongea na konda anaweza kukufanyia tsh 50000.
Umeua
Unajua hesabu kweli? Umesema Dar-Mwz 45,000 na Mwz-Musoma 15,000 hapo tayari 60,000 hiyo 55,000 inakujaje nje na punguzo ulolisema?Ina tsh 55000. mpaka mwanza ni tsh 45000. mwanza to musoma ni tsh 15000. Ukiongea na konda anaweza kukufanyia tsh 50000.
Njoo gheto hapa sinza moriMambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
acha uongo..arusha to musoma via ngorongoro ni 35000/=Mkuu pitia Arusha, Dar-Ars 25,000 na Arusha - Musoma Via Ngorongoro ni 20,000.