Msaada: Nataka kuhama wizara

Young atrick

Member
Jan 23, 2023
21
5
Poleni na majukumu Wana JF,

Ni matumaini yangu mpo wazima wa afya tele.

Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X. Ombi langu kwenu ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo?

Kwani nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now hamna response. 🙏
 
Poleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
Mkuu, una Taaluma gani na ya kiwango gani?
 
Suala la uhamisho kwa Watumishi imekuwa tatizo kweli yaani Waajiri wamekuwa wanaziba mwanya wa Watumishi kuhama yaani nikipata mbinu namna ya kuhama kupitia huu uzi itakuwa vizuri
 
1. Omba kuhama kwa gharama zako na ni baada ya kujiridhisha kwamba huko unakotaka kuhamia ipo nafasi wazi.
2. Tafuta mtu(Mtaalam) wa fani yako anayekubali mbadilishane kituo cha kazi.
3. Anzisha timbwili na Boss wako na atakuhamisha kama adhabu.
NB: Kuhama Wizara inaugumu wake na pengine ni hasara kwako kwani utaenda kuanza Upya kana kwamba ndo unaajiriwa kwa mara ya kwanza.ie.Utaenda kuanza na moja.
 
Poleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
Mhhh! Kwa uandishi huu, nakushauri ubaki tu kwenye hiyo wizara uliopo! Kama imekubali kukupa ajira, itakufaa zaidi!
Kwanini unataka kuhama wizara?
 
Poleni na majukumu Wana foramu nimatumain yangu mpo wazima wa afya tele.
Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X . Ombi langu kwenu Ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze pata uhamisho kwenda wizara tofauti na hii niliyopo.?
Kwan nimejaribu Mara kadhaa kufuata taratibu za kuomba nafasi sehemu nayotaka kwenda Ila untill now amna respond . 🙏
Vipi mamlaka ya ulinzi ( SUNGUSUNGU) Unataka au yani unalinda kwa kirungu jambazi anakuja na bastola
1674984163488.jpg
 
Back
Top Bottom