Msaada nataka kufika Kigali

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,661
21,639
Jamani wiki nitakuwa Ngara nilikuwa nataka kuuliza nauli ni kiasi, nahitaji documents gani ili kuingia na je naweza kwenda na kurudi,msaada tafadhari
 
unaweza sana na kufika kigali ni kama elfu kumi na tano,ukifika mpakani unaweza ukaomba pass ya dharula cha msingi peleka picha mbili na sh elfu kumi na cheti cha kuzaliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…