Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

WASIG JR

New Member
Jan 23, 2022
1
1
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia nishaipoteza laini yake kitambo so nahitaj MSAADA kama Kuna namba ya kurudisha password pasipo kupatia namba ya simu.
 
Back
Top Bottom