MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

Jasor

Member
Apr 4, 2023
28
45
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.

Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
 
+255 754 498 972 mcheki Dismas lyassa ndo ishu zake hizi.
Au ingia YouTube Pana web kibao za wakenya na wabongo watakufikisha Ulaya,yuesi au popote TU duniani iwe kazi,masomo nk.
 
Sawa Kaka zipo ambazo nishazifuatilia kama ebm scholars lakn nataman nipate mtu ambaye ni mnufaika tyr anielekeze kuandika essay zao
 
Hata google TU ukiandika fully funded scholarship wanakupa links,kuwa makini tu wanigeria wasikupige zipo feki page nyingi.
Ukitaka kujua page sahihi uliza serikali ya nchi husika.
Serikali zote Duniani Zina page zao na wapo online kujibu chochote kuhusu nchi Yao au kama vipi check embassy zao.
Pia zipo KAZI ya internship yapo mashirika hata bongo yanapeleka watu ulaya kwa kazi za kujitolea,sema wabongo wabinafsi sana kuyajua Hadi uchimbe sana uwe mtu wa kusaka sana info utayajua,muhimu andaa TU passport.
Mwezi wa nne ulaya vyuo vinafunguliwa wahi
 
Asante sana broda ngoja nipitepite but we unahis nchi gan wanatoa hz scholarship kirahis sana
 
USA,Canada, Scandinavian,Japan,china
Sawa Kaka nimepita usa embassy nimeona Kuna moja inaitwa full bright yenyew inatoa kwa graduate student is University of San Diego wenywe wanatoa partial ni vyuo gan unavyovijua vinatoa coz vyuo ving sana USA kaka
 
Ingia USA government website utavipata
 
Kama una linkedin, huwa zinapostiwa sana na pia kuna page ambayo ipo special kwa kutangaza fursa za scholarships and funds 👇🏾👇🏾👇🏾
 
Attachments

  • IMG_20240127_161426.jpg
    IMG_20240127_161426.jpg
    175.1 KB · Views: 35
Back
Top Bottom