Msaada: Naomba kufahamu maslahi ya health & safety officer mgodini

jenny prety

Member
Dec 28, 2023
6
4
Habari wadau, naomba kufahamu mshahara wa health and safety officer mgodini na maslahi mengine, kuna mtu ni bank officer NMB (Dss) na amepata hiyo post ya HSo mgodini, je aende mgodini au abaki bank
 
Habari wadau, naomba kufahamu mshahara wa health and safety officer mgodini na maslahi mengine, kuna mtu ni bank officer NMB (Dss) na amepata hiyo post ya HSo mgodini, je aende mgodini au abaki bank
Nenda mgodini mkuu,tena ikiwezekana kimbia..

Mgodini kwa OSHA salary sio mbaya..

Uzuri migodi mingi ipo chini ya wazungu..na mzungu kwenye mambo ya kulipana hana hiyana.
 
Back
Top Bottom