Msaada namna ya kuunganisha sound bar

Je tv yako ni smart yny bluetooth kama ndiyo washa sound bar chagua option ya bluetooth ksha nenda kwny tv yako yny bluetooth tafuta ilipo kwny settings then search kuiona sound bar bluetooth ikpatkana connect au accept. Pili kama tv yako n ya kawaida angalia sound bar yako kama ina option ya av kama ipo chukua ule waya wa sauti ambao hata sub za kichina huwa upo uknunua unakuwa na pande 2 upande 1 kuna mdomo kama wa earphone upande mwngne umegawanyka mara 2 kuna waya 1 una rang nyekundu mwngn nyeupe, angalia kwny sound bar yako mahali pa kuchomeka waya kwaajili ya av kama ipo utaona midomo miwili mmoja una rang nyekundu huo chomeka waya wenye kchwa chekundu, mdomo mweupe chomeka waya wny kichwa cheupe ukmaliza sasa upande wa waya wny kchwa cha earphone angalia tv yako kuna mdomo wa earphone chomeka hapo huo waya ksha washa sound bar uchague option ya av washa tv kaz imeisha. Usponielewa hakika hutaelewa milele.
 
Back
Top Bottom