Naombeni msaada tafadhali namna ya kusearch na kuinstall frequency za radio kwenye television ili niweze kusikiliza radio kwa kutumia satelite dish
kupitia TV.
Natumia dekoda ya star times
Ushauri wenu kwa wenye ujuzi tafadhari
sijawahi tumia siku nyingi hicho king'amuzi ukiweka chanell husika mfano TBC bonyeza button ya audio halafu jaribu kubadili itakuja radio ya TBC kama radio Tanzania
sijawahi tumia siku nyingi hicho king'amuzi ukiweka chanell husika mfano TBC bonyeza button ya audio halafu jaribu kubadili itakuja radio ya TBC kama radio Tanzania