MSAADA: Namna ya kupata SABC channels bure

Cheki Bobu

Member
Jan 8, 2015
54
21
Habari wakuu,

Kwa muda mrefu nilikuwa nimekuwa nikitafuta namna ya kuzipata SABC (South Africa) channels bure. Nilichokijua ni kwamba SABC zilikuwa zikipatikana Bure kupitia satellite ya Intelsat 20 Ku (Zamani Panamsat 7/10). Sasa nimegundua kwamba hazipatikani tena...

Naomba kujua naweza kufanya nini ilikuzipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…