Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,563
- 1,549
Habari humu, naomba msaada nimemisplace nida yangu nitumie njia gani au nitume sms kwenda namba gani kuzipata zile namba za nida
Thanx ngoja nitumeNenda kwenye sms ya kawaida , namba ya kutuma weka 15096.
Kwenye ukumbi wa msg anza jina la kwanza kwa herufi kisha*jina la mwisho*mwaka wa kuzaliwa*jina la kwanza la mama*jina la mwisho la mama kisha tuma.
Au unaweza kuingia kwenye google andika nida services utaona kuna segment ya kuomba namba yako