Msokwa1
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 477
- 526
Nimenunua modem mpya leo kwa ajili ya kuacess internet kwenye pc yangu nimechomeka imeniletea option ya kuinstall program yake vema tu nikifungua program inaonyesha kusoma vizur kabsa kwan majina yalioko kwenye lain yanaonekana vema na piah naweza tuma na kureceive message tatizo liko katika connection ya internet nimejarbu kuset dial up connection lakin imeshindikana sijui nakosea kuset hizo connection ama kuna namna nyingne naweza fanya niweze unganisha internet natumia mtandao wa vodacom na hii ni universal moderm