Depend kwa matumizi yapi, unaweza fanya hivyo kwa TP link na mikrotikSpeed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika
MB - Akivuka matmizi ya mb kadhaa connection inajikata
matumizi yoyote mkuu nyumbani, biashara, n.k. ilimradi niwe na uwezo wa kufanya hayo niliyoyajaDepend kwa matumizi yapi, unaweza fanya hivyo kwa TP link na mikrotik
Easy to setup TP link kaka, mikrotik iko deep you need kuwa mtaalam kidogomatumizi yoyote mkuu nyumbani, biashara, n.k. ilimradi niwe na uwezo wa kufanya hayo niliyoyaja
Kila mtu anajua kitu fulani kwake kinakuwa easy lakini sio easy kwa wengine, hata wewe unaesema ni easy kuna baadhi ya vitu huvijui ambavyo kwetu na wengine ni easy,Easy to setup TP link kaka, mikrotik iko deep you need kuwa mtaalam kidogo
Tp link unaweza set hizo speed limits kiurahis kabisa
Alright ngoja ni simplify mambo, namaanisha hiki kifaaKila mtu anajua kitu fulani kwake kinakuwa easy lakini sio easy kwa wengine, hata wewe unaesema ni easy kuna baadhi ya vitu huvijui ambavyo kwetu na wengine ni easy,
Tafadhali jaribu kutoa ushauri kwa namna ambayo inaweza kutufungua macho tusiojua kwa undani hayo mambo ya tp link, ni kifaa cha aina ipi cha hio tp link kinahitajika, baada ya kununua unafanya nini ili kuseti
Kinaingia line zoteAlright ngoja ni simplify mambo, namaanisha hiki kifaa
Hicho kifaa TP LINK M7000 niliwahi kukitumia lakini sikuweza gundua kuna sehemu ya kubana speed au kubana MB, nilicheki video za youtube ila sikufanikiwa, Naomba ufafanuzi zaidi ni option ipi inatumika ?Kinaingia line zote
Na wakati wa conguration ni rahisi
(Kama huja set password utaset)
- washa kwa kubonyeza button ya on
- connect to wifi inayo display kutoka kwenye hiko kifaa
- open google chrome type 192.168.0.1, enter
- itakupeleka kwenye interface ya kuanzia
Zingine zina kuja pre configured password ( admin, admin)
Ukisha login tafuta setting inaitwa bandwidth control
From there utaset limit