just-imagine JF-Expert Member Aug 18, 2015 374 449 Jun 14, 2016 #1 Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu
Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu
N ndavandava Member Jun 18, 2015 94 37 Jun 14, 2016 #3 just-imagine said: Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Ofisi zilizokuwa za ubalozi wa Marekan walipolipuliwa mwaka ule wa 1998 ndipo zilipo ofisi zao hao E&Y. Click to expand...
just-imagine said: Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Ofisi zilizokuwa za ubalozi wa Marekan walipolipuliwa mwaka ule wa 1998 ndipo zilipo ofisi zao hao E&Y. Click to expand...
S shaurimbaya JF-Expert Member Oct 3, 2013 1,915 2,329 Jun 14, 2016 #4 MTV MBONGO said: Laibon road, oysterbay Click to expand... wamehama pale.. siku hizi wameamia victoria.. kwenye jengo jipya la tanhouse... yalipo makao makuu ya acacia.. jengo lipo katikati ya victoria na morocco
MTV MBONGO said: Laibon road, oysterbay Click to expand... wamehama pale.. siku hizi wameamia victoria.. kwenye jengo jipya la tanhouse... yalipo makao makuu ya acacia.. jengo lipo katikati ya victoria na morocco
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,614 Jun 14, 2016 #5 just-imagine said: Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu Click to expand... Jengo jipya linaitwa Tan House pembeni ya kituo cha mafuta cha Gapco Victoria barabara ya Al Hassani Mwinyi.
just-imagine said: Habari zenu wana JF wote, Naomba kujuzwa mahali ilipo ofisi ya EY (ERNST&YOUNG) kwa Dar es salaam. Natanguliza shukrani zangu Click to expand... Jengo jipya linaitwa Tan House pembeni ya kituo cha mafuta cha Gapco Victoria barabara ya Al Hassani Mwinyi.
MTV MBONGO JF-Expert Member Feb 18, 2016 1,261 1,222 Jun 14, 2016 #6 Raimundo said: Jengo jipya linaitwa Tan House pembeni ya kituo cha mafuta cha Gapco Victoria barabara ya Al Hassani Mwinyi. Click to expand... shaurimbaya said: wamehama pale.. siku hizi wameamia victoria.. kwenye jengo jipya la tanhouse... yalipo makao makuu ya acacia.. jengo lipo katikati ya victoria na morocco Click to expand... ok. kweli kitambo cjatembelea mitaa ya obei
Raimundo said: Jengo jipya linaitwa Tan House pembeni ya kituo cha mafuta cha Gapco Victoria barabara ya Al Hassani Mwinyi. Click to expand... shaurimbaya said: wamehama pale.. siku hizi wameamia victoria.. kwenye jengo jipya la tanhouse... yalipo makao makuu ya acacia.. jengo lipo katikati ya victoria na morocco Click to expand... ok. kweli kitambo cjatembelea mitaa ya obei
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,614 Jun 14, 2016 #7 MTV MBONGO said: ok. kweli kitambo cjatembelea mitaa ya obei Click to expand... Pale sasa hivi kuna kampuni ya ulinzi.
MTV MBONGO said: ok. kweli kitambo cjatembelea mitaa ya obei Click to expand... Pale sasa hivi kuna kampuni ya ulinzi.
MTV MBONGO JF-Expert Member Feb 18, 2016 1,261 1,222 Jun 14, 2016 #8 Raimundo said: Pale sasa hivi kuna kampuni ya ulinzi. Click to expand... duh. nikija Dar obei itakuwa ya kwanza kuwa visited.
Raimundo said: Pale sasa hivi kuna kampuni ya ulinzi. Click to expand... duh. nikija Dar obei itakuwa ya kwanza kuwa visited.