Msaada: Nahitaji kufahamu kuhusu kuanzisha taasisi

hmaloh

Senior Member
Nov 22, 2018
126
186
Habari za muda huu wana JF,nahitaji kufahamu ni mambo gani ya msingi yanayohitajika ili kuanzisha taasisi. Na je taasisi inaweza kuanzia ngazi ya Kijiji au kata? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Habari za muda huu wana JF,nahitaji kufahamu ni mambo gani ya msingi yanayohitajika ili kuanzisha taasisi. Na je taasisi inaweza kuanzia ngazi ya Kijiji au kata? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Tuo Tuo
Amewahi kufungua kwa msaada wa maelezo aliyokuwa anatolia humu. Rashidi Jololo ndo mshauri wake mkubwa

Usajili wa taasisi unapitia nis jamii, lakin lazima ubainishe scope ya huduma zako kati ya kata, wilaya, mkoa au nchi nzima. Hivyo usajili au malipo yanategemea na hili. Mengine waulize hao
 
Back
Top Bottom