KERO Msaada: Nahitaji kuendelea kusoma shahada lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

beckygeorge

New Member
Jul 7, 2024
4
0
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.

Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka saivi sms ya GEPG ipo inasema nimelipia lakini NACTE wamekua wakinitumia control number nyingine nilipie nikienda ofisini kwao naishia kuandika shida yangu kwenye daftari na kuambiwa niondoke.

Siku zimeisha hata mkopo dirisha litafungwa na sitaweza kusoma bila mkopo. Hali ni duni kwetu. kila week naenda ofisi za NACTEVET hakuna huduma ya maana nayopewa tena naambiwa wenyewe hawana shida ila shida ipo kwenye mifumo ya malipo ya serikali.
 
Pole mkuu,,,ila nawakumbusha ombeni AVN mapema muwe nayo kuepusha mambo kama haya maana system za nchi yetu ni ya kubumba sana kwa mambo mengi. Mimi AVN yangu niliomba mwezi ulel ule matokeo yalivyotoka.

NB:siwatetei Nacte.
 
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.

Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka saivi sms ya GEPG ipo inasema nimelipia lakini NACTE wamekua wakinitumia control number nyingine nilipie nikienda ofisini kwao naishia kuandika shida yangu kwenye daftari na kuambiwa niondoke.

Siku zimeisha hata mkopo dirisha litafungwa na sitaweza kusoma bila mkopo. Hali ni duni kwetu. kila week naenda ofisi za NACTEVET hakuna huduma ya maana nayopewa tena naambiwa wenyewe hawana shida ila shida ipo kwenye mifumo ya malipo ya

Sijui kwako shiida ni nin? Ila mbona huwa kama taarifa zako zipo vzr tu! Haichukui saa moja kuipata. Huwenda ni changamoto yako binafsi ila hakuna usumbufu kwa wengine. Tafuta namna wasiliana nao kwa simu au via email nazan utasaidika.
 
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.

Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka saivi sms ya GEPG ipo inasema nimelipia lakini NACTE wamekua wakinitumia control number nyingine nilipie nikienda ofisini kwao naishia kuandika shida yangu kwenye daftari na kuambiwa niondoke.

Siku zimeisha hata mkopo dirisha litafungwa na sitaweza kusoma bila mkopo. Hali ni duni kwetu. kila week naenda ofisi za NACTEVET hakuna huduma ya maana nayopewa tena naambiwa wenyewe hawana shida ila shida ipo kwenye mifumo ya malipo ya serikali.
Hakikisha unalipia hiyo control namba uliopewa ukiwa bado upo hewani kwenye system
Kwa sababu ukilipia tuu system inajiupdate na unatumiwa AVN unaidownload, hakikisha unakua na hela kwenye simu ili ulipie papo kwa papo
 
Guys nafika Hadi ofisi za nacte every week ila naambiwa issue ya control number ni out of their capability days are numbered kesho ni deadline and I see nothing
 
Kwanza AVN gharama ni elfu ishirini ndio maana wanakutumia nyingine
Ww umesema umelipa elfu kumi na tano wakati gharama ni elfu ishirini
 
Back
Top Bottom