Ahsantee… sio ushauri mbaya… tatizo wanapatikana??Tafuta wakulima wazoefu achana na mabwana shamba watakupotezea muda
Nina shamba nahitaji kilimo cha umwagiliaji… nataka kuanza investment hioOky ungetoa mambo machache kama unaitaji kulima kilimo Gani ? Umwagiliaji au msimu wa mvua n.k Ili mambo yaende karibu Kwa huduma inbox kilimo ni sayansi ya mabadiliko
Shamba lako liko morogoro sehemu ganiHabari,
Nipo Dar, nina shamba hekari 30 lipo Morogoro… Nahitaji Bwana shamba awe ananipa muongozo na elimu juu ya kilimo ili niweze kuwekeza.
Ahsanten..