Msaada mwenye utaalamu na cm aina y Microsoft

mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
915
1,286
Habari za Leo wana jf natumaini mu wa waziwa afya na nguvu tele
Kama kichwa cha habari kinavojielez mm nimetumi hii cm aina ya Microsoft kwa mda si chini ya mwaka mmoja ila bado Kuna baadhi ya vitu vinanisumbua Kama kweny account yang ya outlook kila baada y miezi sita inaniandika attention required af nashwinda ku download kitu coz inatka password na nikiekabizo paswerd inasema s sahihi ikabidi n restor baada ya kurestor juzi imerudia tena Ivo ivo af uwezi fungus account nyingine bila kuifungua Ile y mwanzo bila ivi inakubidi u restor af nki restor napoteza vitu vingi vlivohifadhi.
La pili jinsi ya ku ipiga window iende kweny window ten coz hii ni window 8 na kunanyingine nimeona n windows kuanzia 7,8,10
Aina ya cm kma nlivosema ni microst window 8 . Mwenye uzoefu msaada please
 
Cha muhimu ni kudeal na hiyo email yako nje ya simu yako. Tumia computer ama kifaa chengine cha internet ingia outlook/hotmail/live kisha ingiza email yako na kuchagua forgot password halafu fuata maelekezo. Na natumai unakumbuka maswali ya siri ama uliweka recovery yoyote kama namba ya simu.
 
Ntaj

ntajaribu ILA skueka recovery kam email 📧 au no ya simu ndo mahali penye utata apo mkuu
 
Hizi simu zilikua za ajabu sana yani zile zenye windows 7 zilikua hazina USSD code kama sijakosea ni zile zilizokua na code number 10 i.e Nokia 510,710,610 hahaha
 
Back
Top Bottom