Habari ya majukumu wakuu.
Kama tittle inavyojieleza, naomba kufahamu kuhusu hizi gari.
Lengo hasa ni kunisaidia katika kufanya maamuzi ya kununua hiyo gari. Kipato changu ni cha kawaida.
Natanguliza shukurani.
Tena hizo ni mchina og yake inazid hiyo beiKuna mjumbe amewahi sema shokapu za mbele zinagharimu laki6
Sijui kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo zote ni Tiida, tofauti ni mwaka wa matengenezo. Kama uko na uzoefu wa ujumla nitashukuru kuupata.Hongera aisee kwa kujikujsanya, sasa ni model ya mwaka upi haswa ambayo una target kuimiliki .?!
Maana kuna ya ;
2005, 2007, 2008 hadi 2013 sasa sijajua ipi exactly ndio chaguo lako ili Mimi na wadau wengine humu tukusaidie kukupa ufafanuzi kwa kiasi tunachofahamu