B Blessed Son Member Apr 23, 2015 34 23 May 29, 2017 #1 Wakuu naomba kujuzwa kama mwakyembe kabadilishiwa wizara au ni mm sijui mipaka ya wizara yake ya michezo,leo bungeni naona anaulizwa maswali kuhusu huduma za mahakama,kesi mbali mbali kucheleweshwa pia,kama wapo wajuzi wa hilo tafadhali mnifahamishe
Wakuu naomba kujuzwa kama mwakyembe kabadilishiwa wizara au ni mm sijui mipaka ya wizara yake ya michezo,leo bungeni naona anaulizwa maswali kuhusu huduma za mahakama,kesi mbali mbali kucheleweshwa pia,kama wapo wajuzi wa hilo tafadhali mnifahamishe
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member May 8, 2013 9,552 24,164 May 29, 2017 #2 Itakuwa Prof Kabudi hayupo ndio maana anamsaidia maana Mwakyembe ni mzoefu kwenye hiyo Wizara ya Katiba na Sheria.
Itakuwa Prof Kabudi hayupo ndio maana anamsaidia maana Mwakyembe ni mzoefu kwenye hiyo Wizara ya Katiba na Sheria.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Sep 3, 2013 18,369 14,600 May 29, 2017 #4 Mwakyembe ni nguli ktk siasa na wizara nyingi sana hivyo anamudu kila kona huko mjengoni
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,614 May 29, 2017 #5 Toka atoke India inaonekana jamaa akili zimekuwa sharp, anajua kila kitu ndo maana anaulizwa yeye kama waziri fulani hayupo.
Toka atoke India inaonekana jamaa akili zimekuwa sharp, anajua kila kitu ndo maana anaulizwa yeye kama waziri fulani hayupo.
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 126,227 240,557 May 29, 2017 #7 pilipili kichaa said: Mwakyembe ni nguli ktk siasa na wizara nyingi sana hivyo anamudu kila kona huko mjengoni Click to expand... Tunaomba kufahamu unguli wa Mwakyembe , mbunge aliyetangazwa mshindi chini ya Mtutu wa Bunduki .
pilipili kichaa said: Mwakyembe ni nguli ktk siasa na wizara nyingi sana hivyo anamudu kila kona huko mjengoni Click to expand... Tunaomba kufahamu unguli wa Mwakyembe , mbunge aliyetangazwa mshindi chini ya Mtutu wa Bunduki .