Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 76
- 99
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Pumbu mkuuMbegu gani?
Sasa si bado mtoto subirini viungo vikomaePumbu mkuu
Gololi za pumbu zile 2 moja hawaioni ndio wanawewesekambegu???
Why usimpleke hospitali ?Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Ilikuwepo? Sasa imeenda wapiGololi za pumbu zile 2 moja hawaioni ndio wanaweweseka
Analilia hio gololi?Why usimpleke hospitali ?
Itakua imeliwa na mweziIlikuwepo? Sasa imeenda wapi
Imeingia tumboni itarudi tu wewe relax mwanao atakaa sawa tu wala usiogope sanaIlikuwepo? Sasa imeenda wapi
Kwamba kaangusha kende😂😂Amepotezea wapi mkuu?
Anyway, Tafuteni vizuri alikokuwa anacheza labda kaangushia huko
Wakubwa hatusemi ngiri tunasema imetumbukia tumboni itarudi tuNgiri hiyo. Mara nyingi hupona kwa haraka na wepesi kwa dawa za mitishamba kuliko hospitali.
Ongea na watu wazima waliokuzunguka, lazima watakuwa na dawa.