Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,466
- 3,759
Mtoto wa mwezi mmoja unaulizia dawa jf????mtoto ana mwezi mmoja!
Unaishi mkoa gani? Kama ni Dar niambie fasta nikuelekeze hospital moja ya mhindi ipo Kkoo, hizo ndo kazi zake. Alimsaidia sana mwanangu.Mtoto wangu anabanwa sana na kikohozi hasa ikifika usiku!
Nilienda naye hospital ya wazaz,alipimwa na nikaandikiwa dawa,nilizunguka kutafuta dawa hiyo sikuipata then nikarud hosptal wakanibadilishia dawa!nmetumia lakn naona hali ya mtoto haitengamai!ni kulia tu mafua,kikohozi vinamsumbua!
msaada:nitumie dawa gani nyingine ambayo inaweza kumsaidia?
Pole vipi kupumua anapumua vizuri?Inaweza kuwa pumu hiyo.Nakushauri umpeleke hospitali za Serikali.Kuna na dawa za kienyeji pia usizidharau mm na mke wangu tulipata mtoto wa kiume aliyezaliwa na pumu,alikuwa anakohoa hatari na kifua kinabana.Tuliangaika naye sana hospitalini.Baadae akaja mtaalamu na dawa ya kienyeji ya kulamba...Pumu kwishney na sasa hivi yupo Form II anadunda.Uanze na hospitali ufahamu tatizo usianze na dawa za kienyeji.Mungu amsaidie huyo mtoto apone hilo tatizo
Unaishi mkoa gani? Kama ni Dar niambie fasta nikuelekeze hospital moja ya mhindi ipo Kkoo, hizo ndo kazi zake. Alimsaidia sana mwanangu.
Inaweza kuwa Pneumonia hiyo kama kifua kinabana.Kuna na vile vidude ndani ya koo vikirefuka sana vinasababisha kukohoa.Uko mkoa gani kuna mzazi amesema Kkoo kuna Dr.wa Kihindi hapo.Cheza na hospitali kwa sana na uguza pole.
nashukuru sana mkuu,ikifika usiku ni tatizo hapumui vizur,kifua kinabana na anakohoa kikohoz kikavu!but mchana asumbui sana!
Nashukuru sana kwa ushaur wako,ngoja nikomae kwanza hapa hospital then nikishndwa huku ntatafta altenative B.
GOD BLESS MY KID!!
Dr. Koya au?Unaishi mkoa gani? Kama ni Dar niambie fasta nikuelekeze hospital moja ya mhindi ipo Kkoo, hizo ndo kazi zake. Alimsaidia sana mwanangu.
Pia Mbeya kuna baridi na wengi hutumia mablanketi. kuna mablanketi manyoya yake huleta allergy. Makuku Rey kama mchana au akilala sebuleni hakohoi jaribu kuchange mablanketi. pia inaweza kuwa chandarua etc.Please zingatieni pia usafi wa mtoto anapolala. Inawezekana kuna allergens ambazo zina trivger kukohoa kwake.
Vumbi ni moja wapo ama kutundika minguo mfano mitaulo mliyoogea vyumbani. Ukosefu wa hewa fresh, utumiaji wa perfumes ama spray tofauti mfano za dawa za mbu.
Ila yote haya ni secondary. Doctor kwanza.
kutiririka mafuaa ni kiashiria kikubwa kuwa ni allergy.nashukuru sana mkuu,ikifika usiku ni tatizo hapumui vizur,kifua kinabana na anakohoa kikohoz kikavu!but mchana asumbui sana!
Nashukuru sana kwa ushaur wako,ngoja nikomae kwanza hapa hospital then nikishndwa huku ntatafta altenative B.
GOD BLESS MY KID!!