Msaada: Mti wa mlonge kwa kiingereza unaitwaje?

nkwaru

Senior Member
Jan 16, 2013
126
42
Habari wakuu,

Naomba kujua tafsiri ya mtu unaoitwa "MLONGE" kwa kiingereza na hata kibayolojia. Pia naomba kujua matumizi yake kwa binadamu.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom