Msaada:Msanii wa bongofleva Ibrahnation

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,033
64,842
Wasalaaam wakuu,
Nimemsikia msanii anaitwa Ibrahnation,
Sikuwahi kumsikia kabisa lakini nimepata kazi zake mbili hivi na nimeletewa na mtu.

Sasa nilitaka kujua;
Ametokea mkoa gani na kwa sasa anapatikana wapi?
Meneja wake ni nani?
Amefanya kazi ngapi kwa ujumla?

Natanguliza Shukrani.
Young Malcom.
 
Huyu mshkaji ni bonge la msanii asiee...I wish Ruge asimtumie vibaya kama alivyowatumia akina Barnaba. He's an upcoming Star alongside Baraka Da Prince. Wadau wa Muziki wawasaidie hawa watu tutengeneze akina Diamond wengi.
 
msanii toka iringa anaimba vizur ila wasanii wa iringa hawanaga kiki Hawa hapa meda,ange tainer, ibranation wafate kama unataka kumeneji wapo vizur
 
Huyu mshkaji ni bonge la msanii asiee...I wish Ruge asimtumie vibaya kama alivyowatumia akina Barnaba. He's an upcoming Star alongside Baraka Da Prince. Wadau wa Muziki wawasaidie hawa watu tutengeneze akina Diamond wengi.
Hapo kwa Dimond ingesomeka Ali Kiba ingekuwa na maana zaidi
 
jamaa ni wa iringa na usanii alianza mda mrefu sana kipindi hicho nyimbo zake zinachezwa radio moja iringa inaitwa country fm kama sijakosea miaka ya 2007
Alikuwa anajiita ibra
ila sasa baada ya kwenda tht naona nyota yake inazidi kung'aa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…