Mh mi namuogopa nyoka kuliko jambazi afadhali angekuwa binadamu mwenzangu ningepambana kwa karateka na mbinu zote sasa huyu mtambaa chini mbinu hii sitaiweza labda nisaidiwemuwinde na mapanga, mikuki,mashoka akija unamgecha kichwa hapo nyoka hatakuja tena
paka ni hatari Sana.Paka atatosha kupambana na mijoka?
Huu ni ushauri murua.Fyeka vichaka vilivyo karibu na makazi yako, weka mazingira safi kusiwe na mrundikano wa vitu ...zuia viumbe kama panya na chura kuingia ndani hao ndio huwa wana 'invite' minyoka
Mwagia disel au oil chafu i think that's a solution kwa ninavyojua
Kuna maua flani hivi sijajua jina lake ila ukiyapnda nyoka huwa hasogei.
Yanaitwa "maua ya saa 4"Kuna maua flani hivi sijajua jina lake ila ukiyapnda nyoka huwa hasogei.
Fuga paka kwani wanapambana na nyoka bila kukimbia.na pia atakusaidia kukimbiza panya ambao ni chakula cha nyokaYanaitwa "maua ya saa 4"
hio itamla...Paka atatosha kupambana na mijoka?