captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 591
- 1,191
Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
Daah! vitu ni vingi mno sema fresh ngoja tupambaneSoma kila kitu
Nipe my friend mimi sinaUkipata connection ya yale magroup utayaona