the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Naomba kujuzwa gharama ada na mahitaji mengine kwa mwaka 2013/14 kwa mwenye ufadhili wa serikali level ya elimu diploma!
Thnx in advance
Thnx in advance
kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?
kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?
Ahsante ndg,shukran saaaanayes,rafk yang amemalza mpwapwa mwaka huu kanambia wale govonment sapoted wanajtegemea chakuka tu
Mbona hawatoi list ya watu walioaply kwa mwaka huu wa masomo? Na huwa wanatoaje ni kupitia posta ama kwenye magazeti! Msaada mkuu.
Okay nilikua napata mawazo ya boots and coats malazi,hvyo ndio vitu muhimu ndgiko hivi, kwa wale wenye ufadhili wa serikali wanalipa gharama za chakula kama ifuatavyo;-
1st year ni tsh 1,102,000.
2nd year ni tsh 850,000.
na inalipwa kwa mikupuo miwili yaani nusu nusu.