Shemeji yako kakuruhusu kuchonga funguo ya gari yake?
Muombe ruhusa kwanza usije kusababisha Dada yako aachwe.
UKISOMA THREAD ZANGU ZILIZOPITA UTAJUA KUWA MIMI NA WEWE NI LEAGUE TOFAUTI TRUST ME WE SOMA TU UTAJUA KWANINI NAKWAMBIA
GARI LANGU LA KWANZA KUMILIKI ILIKUWA NI gx 90 ILIKUWA MWAKA 2003 MWAKA HUO NAHISI BADO ULIKUWA UKO SHULENI
''Usiseme sisi watanzania ni masikini, masikini ni wewe na familia yako.'' by C.T.U
heshima kwako mkuu. By the way, umemjibu vyema sana huyo mdau mwenye primitive thinking!
Back to Topic:
I don't have a clue kwakweli as sijawahi kumiliki gari. Ila huwa nasikia wenye magari wengi wakisema kuwa ule mtaa wa Zanaki kuna wachonga funguo za magari. Jaribu hapo kaka.
And for car security purposes, huwa inashauriwa kwamba usiende na gari husika pale. Paki gari lako mbali sana, then nenda na funguo tu. Baadhi ya watu siku anaenda kuchonga ufunguo, gari huliacha home kabsa, just for security alert!
- Kaveli -
Manji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.Wakongwe habari zenu
Aisee mie nilikuwa nina swali naomba kuuliza
Ni kuwa kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza kuchonga funguo ya gari wakaniwekea na kichwa cha funguo cha PLASTIC ambacho ni kama vile vichwa vinavyokuja na Gari lenyewe
Kwa maana ya hivi
Maana funguo nyingi zinazochongwa huwa haziwekwi kichwa na baala yake huwekwa tu vichwa vya bati au chuma kama hivi
Kuna mtu mnayemjua wakongwe anaweza nichongea funguo ya gari akaniwekea na kichwa kama hicho cha Totoya ambacho kina quality nzuri na gharama zao ni sh ngapi??
Natanguliza shukrani
Duh sikuwa nalijua hiloManji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.
Manji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.
Nenda kinondoni opposite na mwanamboka kituo cha mafuta upande ile wa wanaouza spea za magari kuna mzee mmoja anachonga hatari!na ni mkongwe ktk fani hiyo..garama yke ni tsh 10000 tuOkay shukrani sana wakongwe hakika hapa ni darasa tosha viva JF
Bado mpo hapo zanakiManji Keys mtaa wa zanaki i guess watakuchongea kama hizo. Wana blank keys design zote. I guess ni gari ya kawaida i.e toyotas vits,mark2 etc maanake funguo kama za mercedes,bmw baada ya kuchongo haiwezi kuwasha gari mpaka ifanyiwe programming.
nani ana muda wa kuiba IST? na tracking device zilivyojaa mjini bado unaogopa kuibiwa? hiv anaechonga funguo akiamua kukufuatilia (Kidigitali- kwa kuweka chip ya kutrack movement ya gari lako) kwenye hiyo funguo atashndwa nn?''Usiseme sisi watanzania ni masikini, masikini ni wewe na familia yako.'' by C.T.U
heshima kwako mkuu. By the way, umemjibu vyema sana huyo mdau mwenye primitive thinking!
Back to Topic:
I don't have a clue kwakweli as sijawahi kumiliki gari. Ila huwa nasikia wenye magari wengi wakisema kuwa ule mtaa wa Zanaki kuna wachonga funguo za magari. Jaribu hapo kaka.
And for car security purposes, huwa inashauriwa kwamba usiende na gari husika pale. Paki gari lako mbali sana, then nenda na funguo tu. Baadhi ya watu siku anaenda kuchonga ufunguo, gari huliacha home kabsa, just for security alert!
- Kaveli -
Hatari sana mkuu...mimi nilikua form 1 mwaka huo...UKISOMA THREAD ZANGU ZILIZOPITA UTAJUA KUWA MIMI NA WEWE NI LEAGUE TOFAUTI TRUST ME WE SOMA TU UTAJUA KWANINI NAKWAMBIA
GARI LANGU LA KWANZA KUMILIKI ILIKUWA NI gx 90 ILIKUWA MWAKA 2003 MWAKA HUO NAHISI BADO ULIKUWA UKO SHULENI