Unatumia kinanda gani, portable keyboard au MIDI keyboard.
tafta specifk driver ya hicho kinanda, ingekuwa unatumia window 10 ingejifix yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia kinanda gani, portable keyboard au MIDI keyboard.
Anyway tafuta driver za kiwanda husika na uinstall kupitia device manager either kwa kusearch automatic (Internet needed) au kishapakua driver una add manually
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.Hiki ni MIDI lakini kiko tofauti na MIDI zingine kama M audio au beringer ambazo unaweza pata driver kiurahisi, hii naona ni ya kichina zaidi maana nimejaribu kutafuta Google sijapata kinaitwa MK 935View attachment 1452399
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.
Naomba unipe majibu yafuataje ili tuende sana...
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.
Naomba unipe majibu yafuataje ili tuende sana
1. Kinanda chako kina midi in and out port???
2. Kinanda chako kina USB host port
3. Unatumia njia ipi kati ya hizo kuconect na PC yako.
Je unatumia Software gani ( DAW) eg. Fl. Studio, Cubase nk. Kwenye PC yako kwa ajiki ya kupokelewa na kinanda chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kwanza ni kwamba mimi siyo mtaalam sana ninachofanyaga mie ni kuhakikisha kinasomatu kwenya DAW Yangu basi sijajua sasa kama kina imput.
Swali la pili hakina USB hotsport.
Swali la mwisho Natumia Cubase na Fl mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hakina USB unaunganishaje na computer
Kumkoma nyani geradi
Nimejibu mkuuSasa mbona maswali ukiulizwa hujibu
Kumkoma nyani geradi