msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Habarini ndugu, pia poleni na mishe za hapa na pale.
Moja kwa moja kwenye point, natumia desktop HP Intel Core i5-3470 3.20 GHz
Ila kuna shida inasumbua kuna baadhi ya device zinagoma kusoma wajuzi naombeni msaada, nimejaribu kuinstall toolkit driver kuna baadhi tu ya driver zilikaa sawa lakini device niliyokuwa nailenga ikubali haikubali ila nikichomeka kwenye pc nyingine inakubali ila hiyo PC ni ndogo kwa shughuli zangu.
Wataalamu naombeni msaada.
Namaliza kwa shukrani.
Corona ipo tukumbuke Kufuata taratibu ziliwekwa na Wataalamu wa afya.
Sent using Jamii Forums mobile app