Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi yakufundisha. Mimi ni mhitimu wachuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na geographia. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia nina uwezo wakufundisha collage. Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.