malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,122
- 3,437
Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi.
Nimekimbilia dispensary nimepimwa
Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr 65, damu14.6, nkakutwa na UTI 25 na typhoid.
Je, nauliza UTI huweza sababisha kichwa kuuma hivi? Na vipi dawa gani nzuri kwa UTI na typoid maana Sina dalili zozote za magonjwa haya zaid yalichwa kuuma katikati ya utosi sanaaa au niende hospital kubwa zaid asubuh
NB: Niko Dar mara moja kwa shuguli zangu