euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,797
- 4,163
Habari za wakati huu wadau wa Jamiiforums, Ama baada ya salamu ni kwamba nina desktop aina ya Dell, nimekuwa niikitumia kwa matumizi ya kawaida tu mfano scanning, printing n.k lakini baadae ikaongezeka matumizi ikawa inaunganishwa na Router kufanya mambo mengine mitandaoni.
Mara nikaona imebadilika muonekano na mpangalio wa mafaili pale mbele na baadae Ile setting ya computer ikawa haifunguki mbaya zaidi hata kuprint imegoma, kwenye hiyo picha ya kwanza SHUT DOWN, FILE EXPLORER NA RUN Zinafunguka lakini, hiyo SETTING na mengine hapo hayafunguki na nikiclick SETTING inaleta hayo maneno kwenye picha ya pili so msaada kwa wanaofahamu jinsi ya kurekebisha hili tatizo.