Waungwana habari za asbh,naomba kujua kama kuna mtu amewahi kukopa mkopo kutoka Cash X ambayo ni application iliyopo on line .Naomba kujua kwnye interest zao zinakuaje na sio wahuni kama wahuni wengne wanavyofanya kuwatapeli watu?, Ni hayo tu waungwana.