Msaada kutoka kwa yeyote aliyewahi kukopa mkopo kutoka Cash X

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
1,042
2,007
Waungwana habari za asbh,

Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kukopa mkopo kutoka Cash X ambayo ni application iliyopo on line.

Naomba kujua kwnye interest zao zinakuaje na sio wahuni kama wahuni wengne wanavyofanya kuwatapeli watu? Ni hayo tu waungwana.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Waungwana habari za asbh,naomba kujua kama kuna mtu amewahi kukopa mkopo kutoka Cash X ambayo ni application iliyopo on line .Naomba kujua kwnye interest zao zinakuaje na sio wahuni kama wahuni wengne wanavyofanya kuwatapeli watu?, Ni hayo tu waungwana.
55000 unarejesha 70000 ndani ya siku nane.
 
N wasumbufu sanaaaa wanapga simu hata mara 30 kwa siku customer care hawana kabisa na rba n kama 70% ya unachokopa wanakuaminsha unaweza kupata 300000 ila ukiwa unaproces iyo loan inakuja 35000 kwaio n wa hovyo sana
 
Ni wahuni kama wahuni wengine. Wakope upitilize siku 1 uone watakavyokutukana na kukutishia. Riba yao ni kubwa sana. Wahuni kama hao ni kuwakopa halafu unawarudishia pesa yao na riba yao bila service charge sababu service charge ni karibu nusu ya mkopo
 
Back
Top Bottom