Msaada kutajua uwezo wa pc bila kufungua

Prince_mandela

Senior Member
Jul 29, 2016
167
117
Msaada wakuu nahitaji kujua na kuhakikisha ili nijiridhishe kabla sijanunua pc kuhusu ukubwa wa ram , processor na harddisk kabla cjanunua kuhakiki anacho sema ama kilicho andikwa na muuzaji .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…